-
2 Mambo ya Nyakati 35:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Kwa hiyo akamtumia wajumbe, na kusema: “Nina nini na wewe, Ee mfalme wa Yuda? Si wewe ninayekuja kupigana nawe leo, lakini vita vyangu ni juu ya nyumba nyingine ambayo Mungu mwenyewe ameniambia niivuruge. Jiepushe kwa faida yako mwenyewe kwa sababu ya Mungu, ambaye yuko pamoja nami, wala usiache yeye akuangamize.”+
-