Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Yehova atakupiga kwa kifua kikuu+ na homa kali na mchonyoto na joto la homa na upanga+ na kuunguza+ na ukungu,+ navyo vitakufuatilia mpaka utakapokuwa umeangamia.

  • Kumbukumbu la Torati 28:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Yehova atakupiga kwa jipu la Misri+ na bawasiri na ukurutu na upele wa ngozi, nawe hutaweza kupona magonjwa hayo.

  • 2 Samweli 24:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Basi Gadi akaingia kwa Daudi, akamwambia:+ “Je, njaa ikujie katika nchi yako kwa miaka saba,+ au miezi mitatu ya wewe kukimbia mbele ya adui zako,+ wakikufuatilia, au kuwe na siku tatu za tauni katika nchi yako?+ Sasa ujue na uone jibu nitakalompelekea Yeye aliyenituma.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki