Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nanyi mwambieni Amasa,+ ‘Je, wewe si mfupa wangu na nyama yangu? Basi Mungu na anifanyie hivyo na kuzidisha+ jambo hilo ikiwa hutakuwa mkuu wa jeshi mbele yangu sikuzote badala ya Yoabu.’”+

  • 2 Samweli 20:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi mfalme akamwambia Amasa:+ “Wakusanye watu wa Yuda waje kwangu katika muda wa siku tatu, nawe usimame hapa.”

  • 1 Wafalme 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “Nawe mwenyewe pia unajua vema jinsi Yoabu mwana wa Seruya alivyonitendea+ kwa jinsi alivyowatendea wakuu wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri+ mwana wa Neri na Amasa+ mwana wa Yetheri,+ alipowaua na kumwaga damu+ ya vita wakati wa amani na kutia damu ya vita katika mshipi wake uliokuwa kiunoni mwake na katika viatu vyake vilivyokuwa miguuni mwake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki