Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 13:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Katika mwaka wa 37 wa Yehoashi mfalme wa Yuda, Yehoashi+ mwana wa Yehoahazi akawa mfalme juu ya Israeli katika Samaria kwa miaka 16.

  • 2 Wafalme 14:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na mambo mengine ya Yehoashi, yale aliyoyafanya na uwezo wake na jinsi alivyopigana na Amazia mfalme wa Yuda, je, hayakuandikwa katika kitabu+ cha mambo ya siku za wafalme wa Israeli?

  • 2 Wafalme 14:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na Amazia+ mwana wa Yehoashi mfalme wa Yuda akaendelea kuishi kwa miaka kumi na mitano+ baada ya kifo cha Yehoashi+ mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki