Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 9:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na mlinzi+ alikuwa amesimama juu ya mnara+ katika Yezreeli,+ naye akaona umati unaosukasuka wa watu wa Yehu alipokuwa akija, naye akasema mara moja: “Ninaona umati unaosukasuka wa watu.” Ndipo Yehoramu akasema: “Chukua askari mpanda-farasi, umtume awapokee, naye aseme, ‘Je, kuna amani?’”+

  • 2 Mambo ya Nyakati 26:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Tena akajenga minara+ nyikani, na kuchimba matangi mengi ya maji (kwa maana alikuwa na mifugo mingi sana), na pia katika Shefela+ na katika nchi tambarare ya juu. Palikuwa na wakulima na watunza-mizabibu katika milima na katika Karmeli, kwa maana alipenda kilimo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki