Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Kisha Farao akaivua pete yake rasmi ya muhuri+ kutoka mkononi mwake, akaiweka mkononi mwa Yosefu na kumvalisha mavazi ya kitani bora, naye akaweka mkufu wa dhahabu shingoni mwake.+

  • Esta 3:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kwa hiyo mfalme akavua pete yake ya muhuri+ kutoka mkononi mwake na kumpa Hamani+ mwana wa Hamedatha Mwagagi,+ yule mwenye kuwaonyesha Wayahudi uadui.+

  • Danieli 6:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na jiwe likaletwa na kuwekwa kwenye kinywa cha shimo lile, naye mfalme akalitia muhuri kwa pete yake ya muhuri na kwa pete ya muhuri ya wakuu wake, ili kwamba jambo lolote lisibadilishwe kumhusu Danieli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki