Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 7:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Wingu kwa hakika hufikia mwisho wake na kwenda zake;

      Ndivyo ambavyo yeye anayeshuka katika Kaburi* hatapanda juu.+

  • Ayubu 14:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Lakini mwanamume hufa na kulala akiwa ameshindwa;

      Na mtu wa udongo hukata pumzi, naye yuko wapi?+

  • Mhubiri 12:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Pia, wameogopa chochote kilicho juu, na kuna vitisho njiani. Nao mti unaozaa lozi hutoa maua,+ naye panzi hujikokota, na pilipili hupasuka, kwa sababu mwanadamu anakwenda kwenye nyumba yake ya muda mrefu,+ nao waombolezaji wamezunguka barabarani;+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki