-
Ayubu 14:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Maji kwa hakika yanakula hata mawe;
Kumwagika kwake kunayachukua mavumbi ya dunia.
Ndivyo ulivyoliharibu tumaini la mwanadamu anayeweza kufa.
-
-
Ayubu 19:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ananibomoa pande zote, nami naenda zangu;
Naye anang’oa tumaini langu kama mti.
-