Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Na ikawa kwamba katikati ya usiku Yehova akampiga kila mzaliwa wa kwanza katika nchi ya Misri,+ kuanzia mzaliwa wa kwanza wa Farao anayeketi juu ya kiti cha ufalme kufikia mzaliwa wa kwanza wa mateka aliye gerezani, na kila mzaliwa wa kwanza wa mnyama.+

  • Danieli 5:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Usiku huohuo Belshaza mfalme Mkaldayo akauawa,+

  • Luka 12:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Lakini Mungu akamwambia, ‘Wewe usiye na akili, usiku huu wanadai nafsi yako kutoka kwako.+ Basi, vitu ulivyoviweka akiba vitakuwa vya nani?’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki