Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 15:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Naye Nadabu+ mwana wa Yeroboamu akawa mfalme juu ya Israeli katika mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda; naye akaendelea kutawala juu ya Israeli miaka miwili.

  • 1 Wafalme 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika mwaka wa 26 wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme juu ya Israeli kule Tirsa kwa miaka miwili.

  • 1 Wafalme 16:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Katika mwaka wa 27 wa Asa mfalme wa Yuda, Zimri akawa mfalme kwa siku 7+ kule Tirsa, watu walipokuwa wamepiga kambi juu ya Gibethoni,+ jiji la Wafilisti.

  • 1 Wafalme 16:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Mwishowe watu waliokuwa wakimfuata Omri wakawashinda watu waliokuwa wakimfuata Tibni mwana wa Ginathi; kwa hiyo Tibni akafa, na Omri akaanza kutawala.

  • 2 Mambo ya Nyakati 36:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka 23 alipoanza kutawala, naye akatawala miezi mitatu katika Yerusalemu.+

  • Hosea 13:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ndipo nilikupa mfalme katika hasira yangu,+ nami nitamwondolea mbali katika ghadhabu yangu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki