Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+

  • Methali 4:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Njia ya waovu ni kama giza;+ hawajui ni nini kinachoendelea kuwakwaza.+

  • 1 Yohana 2:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Lakini yeye anayemchukia ndugu yake yumo katika giza+ na anatembea katika giza, naye hajui anakoenda,+ kwa sababu giza limeyapofusha macho yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki