Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 15:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na mpaka huo ukapanda hadi bonde la mwana wa Hinomu+ kwenye mteremko wa Myebusi+ upande wa kusini, yaani, Yerusalemu;+ na mpaka huo ukapanda hadi kwenye kilele cha mlima unaoelekeana na bonde la Hinomu upande wa magharibi, ambao uko mwisho wa nchi tambarare ya chini ya Refaimu+ upande wa kaskazini.

  • Yoshua 18:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Na mpaka huo ukashuka kuelekea mwisho wa mlima unaoelekeana na bonde la mwana wa Hinomu,+ ambalo limo katika nchi tambarare ya chini ya Refaimu+ upande wa kaskazini, nao ukashuka katika bonde la Hinomu, kwenye mteremko wa Myebusi+ upande wa kusini, nao ukashuka hadi En-rogeli.+

  • 2 Samweli 5:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Nao Wafilisti wakaingia na kuendelea kutembea huku na huku katika nchi tambarare ya chini ya Refaimu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki