Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 30:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Yehova Mungu wako kwa kweli atakuleta katika nchi ambayo baba zako walimiliki, nawe utaimiliki; naye kwa kweli atakufanyia mema na kukuzidisha wewe kuliko baba zako.+

  • Amosi 9:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Nami nitakusanya na kurudisha mateka wa watu wangu Israeli,+ nao watajenga majiji yaliyofanywa ukiwa na kukaa ndani yake,+ watapanda mashamba ya mizabibu na kunywa divai yake, watafanyiza bustani na kula matunda yake.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki