Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 16:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Na, kwanza kabisa, nitalipa kiwango kamili cha kosa+ lao na cha dhambi yao, kwa sababu waliitia nchi yangu unajisi.+ Walikuwa wameujaza urithi wangu mizoga ya machukizo yao na vinyaa vyao.’”+

  • Ezekieli 8:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Naye akaendelea kuniambia: “Je, umeona hili, Ee mwana wa binadamu? Je, ni jambo dogo sana kwa nyumba ya Yuda kufanya machukizo ambayo wamefanya hapa, kwamba waijaze nchi jeuri+ na kwamba wanitie uchungu tena, na tazama, wananyoosha lile chipukizi kuelekea pua yangu?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki