Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Katika siku zake Nebukadneza+ mfalme wa Babiloni akapanda, na kwa hiyo Yehoyakimu akawa mtumishi+ wake kwa miaka mitatu. Hata hivyo, yeye aligeuka na kumwasi.

  • 2 Mambo ya Nyakati 36:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Zaidi ya hayo, mfalme+ wa Misri akamfanya Eliakimu+ ndugu yake kuwa mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu na kulibadili jina lake kuwa Yehoyakimu; lakini Neko+ akamchukua Yehoahazi ndugu yake na kumpeleka Misri.+

  • Yeremia 25:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Neno lililomjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu+ mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, yaani, mwaka wa kwanza wa Nebukadreza mfalme wa Babiloni;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki