Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 11:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Kwa hiyo sema, ‘Hivi ndivyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema: “Pia nitawakusanya ninyi kutoka kwa vikundi vya watu na kuwakusanya ninyi kutoka katika nchi ambazo katikati yake mmetawanywa, nami nitawapa ninyi udongo wa Israeli.+

  • Ezekieli 37:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa hiyo toa unabii, nawe utawaambia, ‘Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema hivi: “Tazama ninayafungua makaburi yenu,+ nami nitawatoa kutoka katika makaburi yenu, enyi watu wangu, na kuwaingiza katika nchi ya Israeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki