Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 20:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “ ‘ “Nao wakaanza kuniasi,+ wala hawakukubali kunisikiliza. Kila mmoja wao hakuyatupilia mbali machukizo ya macho yake, nazo sanamu zao za mavi za Misri hawakuziacha,+ hivi kwamba nikaahidi kumwaga ghadhabu yangu juu yao, ili kuitimiliza hasira yangu juu yao katikati ya nchi ya Misri.+

  • Hosea 5:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wakuu wa Yuda wamekuwa kama watu wanaosogeza nyuma mpaka.+ Nitamwaga ghadhabu yangu kama maji juu yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki