48 nao kwa kweli warudi kwako kwa moyo wao wote+ na kwa nafsi yao yote katika nchi ya adui zao waliowachukua mateka, nao wasali kwako kuelekea upande ilipo nchi yao ambayo uliwapa mababu zao, jiji ambalo umelichagua na nyumba ambayo nimeijenga kwa ajili ya jina lako;+