48 Basi mfalme akamfanya Danieli kuwa mtu mkuu,+ akampa zawadi nyingi kubwa, naye akamfanya kuwa mtawala juu ya wilaya yote ya utawala ya Babiloni na mkuu wa manaibu wa maliwali juu ya watu wote wenye hekima wa Babiloni.+
13 Basi Danieli akaletwa mbele ya mfalme. Mfalme akasema na kumuuliza Danieli: “Je, wewe ndiye Danieli ambaye ni mmoja wa wahamishwa wa Yuda,+ ambao baba yangu mfalme aliwatoa Yuda?+
29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danieli mavazi ya zambarau, pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; nao wakatangaza kumhusu yeye kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+