31 Ndipo Yesu akawaambia: “Ninyi nyote mtakwazika kuhusiana nami usiku huu, kwa maana imeandikwa, ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa kundi watatawanyika huku na huku.’+
22 Baada ya kusema mambo hayo, mmoja wa maofisa aliyekuwa amesimama kando akampiga Yesu kofi+ usoni na kusema: “Je, hivyo ndivyo unavyomjibu mkuu wa makuhani?”