Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Ndipo mmoja wa wale watu akajibu na kusema: “Baba yako aliwaapisha watu kwa uzito, akisema, ‘Alaaniwe mtu yule atakayekula mkate leo!’”+ (Nao watu wakaanza kuchoka.)+

  • 1 Samweli 25:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi Mungu na awafanyie hivyo adui za Daudi na kuzidisha+ ikiwa nitaacha abaki kufikia asubuhi+ yeyote kati ya wote walio wake anayekojoa ukutani.”+

  • Marko 6:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na binti ya Herodia huyohuyo akaingia, akacheza dansi na kumpendeza Herode na wale wenye kuketi+ pamoja naye. Mfalme akamwambia mwanamwali huyo: “Niombe chochote unachotaka, nami nitakupa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki