6 Hata hivyo, ili mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka duniani ya kusamehe dhambi+—” ndipo akamwambia yule mwenye kupooza: “Simama, chukua kitanda chako, uende nyumbani kwako.”+
24 Lakini ili mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi duniani —” akamwambia mtu aliyepooza: “Ninakuambia, Simama, chukua kitanda chako, uende nyumbani.”+