Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 ninakushauri ununue kutoka kwangu dhahabu+ iliyosafishwa kwa moto ili uwe tajiri, na mavazi meupe ya nje ili uvikwe na kwamba aibu ya uchi wako isifunuliwe,+ na dawa ya macho ya kupaka katika macho+ yako ili upate kuona.

  • Ufunuo 6:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na kila mmoja wao akapewa kanzu nyeupe;+ nao wakaambiwa wapumzike tena muda kidogo, mpaka ijazwe pia hesabu ya watumwa wenzao na ndugu zao waliokuwa karibu kuuawa+ kama vile wao pia walivyouawa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki