Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 8:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kisha Noa akamjengea Yehova madhabahu,+ akachukua baadhi ya wanyama walio safi na baadhi ya viumbe wanaoruka walio safi,+ akawatoa kuwa dhabihu za kuteketezwa juu ya madhabahu+ hiyo.

  • Mwanzo 12:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha Yehova akamtokea Abramu na kumwambia: “Nitaupa uzao wako*+ nchi hii.”+ Basi akamjengea Yehova madhabahu huko, aliyekuwa amemtokea. 8 Baadaye akatoka huko na kwenda katika eneo lenye milima upande wa mashariki wa Betheli+ na kupiga hema lake, jiji la Betheli likiwa upande wa magharibi na Ai+ upande wa mashariki. Huko, akamjengea Yehova+ madhabahu na kuanza kuliitia jina la Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki