-
Yeremia 46:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Pandeni, enyi farasi!
Nendeni kiwazimu, enyi magari!
-
-
Yeremia 47:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Watakaposikia sauti ya kishindo cha kwato za farasi dume wake,
Watakaposikia kelele za magari yake ya vita
Na mvumo wa magurudumu yake,
Akina baba hata hawatageuka kuwatazama wana wao,
Kwa maana mikono yao italegea,
-
Habakuki 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Farasi wao wa vita hukimbia mbele kwa kasi;
Farasi wao hutoka mbali sana.
Wanashuka chini kwa kasi kama tai anayekimbilia chakula.+
-
-
-