Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 20:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “‘Mtu yeyote anayemtukana* baba yake au mama yake lazima auawe.+ Kwa kuwa amemtukana baba yake au mama yake atakuwa na hatia kwa sababu ya kifo chake mwenyewe.*

  • Kumbukumbu la Torati 21:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Ikiwa mtu ana mwana ambaye ni mkaidi na mwasi na hamtii baba yake au mama yake,+ nao wamejaribu kumrekebisha lakini anakataa kuwasikiliza,+

  • Kumbukumbu la Torati 21:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Basi watu wote wa jiji lake watamuua kwa kumpiga mawe. Kwa hiyo ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu, na Waisraeli wote watasikia na kuogopa.+

  • Methali 20:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Yeyote anayemtukana baba yake na mama yake,

      Taa yake itazimwa giza litakapoingia.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki