-
Yeremia 22:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 ‘Lakini macho yako na moyo wako unakazia tu faida yako isiyo ya haki,
Kumwaga damu isiyo na hatia,
Na kufanya ulaghai na unyang’anyi.’
-
-
Ezekieli 46:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kiongozi hapaswi kuchukua urithi wowote wa watu kwa kuwalazimisha waondoke katika mali yao. Anapaswa kuwapa wanawe urithi kutoka kwenye mali yake mwenyewe, ili mtu yeyote miongoni mwa watu wangu asiondolewe kwa lazima katika mali yake.’”
-