38 Kwa maana yeyote atakayenionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki chenye uzinzi * na chenye dhambi, Mwana wa binadamu atamwonea aibu pia+ atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”+
26 Kwa maana yeyote atakayenionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa binadamu atamwonea aibu mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wake, na wa Baba, na wa malaika watakatifu.+