Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani—Yaliyomo

    • MSICHANA MSHULAMI AKIWA KWENYE KAMBI YA MFALME SULEMANI (1:1–3:5)

Wimbo wa Sulemani 2:1

Marejeo

  • +Wim 2:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 2:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “nyumba ya divai.”

Wimbo wa Sulemani 2:5

Marejeo

  • +1Sa 30:11, 12

Wimbo wa Sulemani 2:6

Marejeo

  • +Wim 8:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 2:7

Marejeo

  • +2Sa 2:18
  • +Wim 3:5; 8:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/2006, kur. 18-19

    11/15/1987, kur. 24-25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18-19

Wimbo wa Sulemani 2:9

Marejeo

  • +Wim 2:17; 8:14

Wimbo wa Sulemani 2:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 32

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 2:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “majira ya mvua.”

Wimbo wa Sulemani 2:12

Marejeo

  • +Wim 6:11
  • +Isa 18:5; Yoh 15:2
  • +Yer 8:7

Wimbo wa Sulemani 2:13

Marejeo

  • +Isa 28:4; Nah 3:12

Wimbo wa Sulemani 2:14

Marejeo

  • +Wim 5:2; Yer 48:28
  • +Wim 8:13
  • +Wim 1:5; 6:10

Wimbo wa Sulemani 2:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 2:16

Marejeo

  • +Wim 7:10
  • +Wim 1:7
  • +Wim 2:1; 6:3

Wimbo wa Sulemani 2:17

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “siku ianze kupumua.”

  • *

    Au labda, “milima yenye nyufa.” Au “milima ya Betheri.”

Marejeo

  • +2Sa 2:18
  • +Wim 2:9; 8:14

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 2:1Wim 2:16
Wim. 2:51Sa 30:11, 12
Wim. 2:6Wim 8:3
Wim. 2:72Sa 2:18
Wim. 2:7Wim 3:5; 8:4
Wim. 2:9Wim 2:17; 8:14
Wim. 2:12Wim 6:11
Wim. 2:12Isa 18:5; Yoh 15:2
Wim. 2:12Yer 8:7
Wim. 2:13Isa 28:4; Nah 3:12
Wim. 2:14Wim 5:2; Yer 48:28
Wim. 2:14Wim 8:13
Wim. 2:14Wim 1:5; 6:10
Wim. 2:16Wim 7:10
Wim. 2:16Wim 1:7
Wim. 2:16Wim 2:1; 6:3
Wim. 2:172Sa 2:18
Wim. 2:17Wim 2:9; 8:14
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 2:1-17

Wimbo wa Sulemani

2 “Mimi ni ua la zafarani tu la mwambao wa pwani,

Yungiyungi la mabondeni.”+

 2 “Kama yungiyungi katikati ya miiba

Ndivyo alivyo mpenzi wangu kati ya mabinti.”

 3 “Kama mtofaa kati ya miti ya msituni,

Ndivyo alivyo mpenzi wangu miongoni mwa wana.

Natamani sana kukaa katika kivuli chake,

Na tunda lake ni tamu kinywani mwangu.

 4 Alinileta katika nyumba ya karamu,*

Na bendera aliyoweka juu yangu ilikuwa upendo.

 5 Niburudishe kwa keki za zabibu kavu;+

Nilishe matofaa,

Kwa maana naugua kwa mapenzi.

 6 Amenishika shingoni kwa mkono wake wa kushoto,

Na mkono wake wa kulia unanikumbatia.+

 7 Nawaapisha, enyi mabinti wa Yerusalemu,

Kwa swala+ na paa jike wa porini:

Msijaribu kuamsha au kuchochea upendo ndani yangu mpaka utakapoamka wenyewe.+

 8 Sauti ya mpenzi wangu!

Tazama! Ndiye yule anakuja,

Akipanda milima, akirukaruka juu ya vilima.

 9 Mpenzi wangu ni kama swala, kama paa dume mchanga.+

Yule pale, amesimama nyuma ya ukuta wetu,

Akichungulia madirishani,

Akitazama kupitia viunzi vya madirisha.

10 Mpenzi wangu anaongea, ananiambia:

‘Inuka, mpenzi wangu,

Mrembo wangu, njoo twende zetu.

11 Angalia, majira ya baridi* yamepita.

Mvua zimekwisha na kwenda zake.

12 Maua yamechanua nchini,+

Wakati wa kupunguza matawi umefika,+

Na wimbo wa njiwa tetere unasikiwa katika nchi yetu.+

13 Mtini unaivisha tini zake za mapema;+

Mizabibu inachanua na kunukia manukato.

Inuka, mpenzi wangu, njoo.

Mrembo wangu, njoo twende zetu.

14 Ewe njiwa wangu, kwenye mapango ya miamba,+

Kwenye mashimo ya mlimani,

Acha nikuone na kusikia sauti yako,+

Kwa maana sauti yako inavutia na umbo lako linapendeza.’”+

15 “Tukamatieni mbweha,

Mbweha wadogo wanaoharibu mashamba ya mizabibu,

Kwa maana mashamba yetu ya mizabibu yamechanua.”

16 “Mpenzi wangu ni wangu mimi, na mimi ni wake.+

Anachunga kondoo+ kati ya mayungiyungi.+

17 Mpaka upepo uanze kuvuma* na vivuli kukimbia,

Rudi haraka, ewe mpenzi wangu,

Kama swala+ au paa dume mchanga+ juu ya milima inayotutenganisha.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki