Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wakorintho 16
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Wakorintho—Yaliyomo

      • Mchango kwa ajili ya Wakristo huko Yerusalemu (1-4)

      • Mipango ya safari za Paulo (5-9)

      • Mipango ya ziara za Timotheo na Apolo (10-12)

      • Himizo na salamu (13-24)

1 Wakorintho 16:1

Marejeo

  • +Mdo 24:17; Ro 15:26; 2Ko 8:3, 4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/1998, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 11/1 24

1 Wakorintho 16:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 88

    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha,

    11/2023, uku. 3

    Furahia Maisha Milele!, somo la 55

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/2013, uku. 14

    7/15/2008, uku. 28

    12/1/2002, uku. 5

    11/1/2002, uku. 30

    11/1/1998, uku. 24

    12/1/1994, uku. 17

    1/15/1992, uku. 17

    4/15/1991, uku. 27

    12/1/1989, uku. 24

    12/15/1986, uku. 30

    12/1/1986, uku. 30

    Huduma ya Ufalme,

    1/2002, uku. 7

  • Fahirishi ya Machapisho

    w08 7/15 28; w02 11/1 30; w02 12/1 5; km 1/02 7; w98 11/1 24

1 Wakorintho 16:3

Marejeo

  • +2Ko 8:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1998, uku. 7

    12/1/1989, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/15 7

1 Wakorintho 16:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1998, uku. 7

    12/1/1989, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/15 7

1 Wakorintho 16:5

Marejeo

  • +Mdo 19:21; 2Ko 1:15, 16

1 Wakorintho 16:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Nyongeza A5.

Marejeo

  • +Mdo 20:2

1 Wakorintho 16:8

Marejeo

  • +Mdo 19:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    “Kila Andiko,” uku. 210

  • Fahirishi ya Machapisho

    km 3/03 6

1 Wakorintho 16:9

Marejeo

  • +Mdo 19:10, 11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/2008, uku. 18

    12/15/1990, uku. 23

  • Fahirishi ya Machapisho

    w08 12/15 18; od 118; km 3/03 6

1 Wakorintho 16:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Nyongeza A5.

Marejeo

  • +Mdo 16:1, 2
  • +Flp 2:19, 20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2009, kur. 14-15

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 5/15 15

1 Wakorintho 16:12

Marejeo

  • +Mdo 18:24, 25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1996, uku. 22

  • Fahirishi ya Machapisho

    w96 10/1 22

1 Wakorintho 16:13

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kuwa jasiri.”

Marejeo

  • +1Th 5:6
  • +1Ko 15:58; Flp 1:27
  • +Mdo 4:29
  • +Efe 6:10; Kol 1:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2015, kur. 13-17

    1/1/2003, kur. 18-19

    4/1/2002, kur. 15, 27-28

    4/15/1990, kur. 26-28

    Amkeni!,

    4/22/2000, uku. 15

    Huduma ya Ufalme,

    2/2000, uku. 8

  • Fahirishi ya Machapisho

    w03 1/1 18-19; w02 4/1 15, 27-28; g00 4/22 15; km 2/00 8

1 Wakorintho 16:14

Marejeo

  • +1Ko 13:4; 1Pe 4:8

1 Wakorintho 16:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1988, kur. 19-20

1 Wakorintho 16:16

Marejeo

  • +Flp 2:29, 30; 1Th 5:12; 1Ti 5:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1988, kur. 19-20

1 Wakorintho 16:17

Marejeo

  • +1Ko 1:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1988, kur. 19-20

1 Wakorintho 16:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1988, kur. 19-20

1 Wakorintho 16:19

Marejeo

  • +Ro 16:3, 5; Flm 2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2007, uku. 10

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 8/15 10

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Kor. 16:1Mdo 24:17; Ro 15:26; 2Ko 8:3, 4
1 Kor. 16:32Ko 8:19
1 Kor. 16:5Mdo 19:21; 2Ko 1:15, 16
1 Kor. 16:7Mdo 20:2
1 Kor. 16:8Mdo 19:1
1 Kor. 16:9Mdo 19:10, 11
1 Kor. 16:10Mdo 16:1, 2
1 Kor. 16:10Flp 2:19, 20
1 Kor. 16:12Mdo 18:24, 25
1 Kor. 16:131Th 5:6
1 Kor. 16:131Ko 15:58; Flp 1:27
1 Kor. 16:13Mdo 4:29
1 Kor. 16:13Efe 6:10; Kol 1:11
1 Kor. 16:141Ko 13:4; 1Pe 4:8
1 Kor. 16:16Flp 2:29, 30; 1Th 5:12; 1Ti 5:17
1 Kor. 16:171Ko 1:16
1 Kor. 16:19Ro 16:3, 5; Flm 2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Wakorintho 16:1-24

Barua ya Kwanza kwa Wakoritho

16 Basi kuhusu mchango kwa ajili ya watakatifu,+ fuateni mwongozo niliotoa kwa makutaniko ya Galatia. 2 Siku ya kwanza ya kila juma, kila mmoja wenu anapaswa kuweka kando kitu fulani kulingana na uwezo wake, ili michango isikusanywe nitakapofika. 3 Lakini nitakapofika huko, nitawatuma watu mtakaopendekeza katika barua zenu,+ wapeleke zawadi yenu ya fadhili Yerusalemu. 4 Hata hivyo, ikiwa itafaa mimi niende huko pia, wataenda pamoja nami.

5 Lakini nitakuja kwenu baada ya kupitia Makedonia, kwa maana nitapitia huko Makedonia;+ 6 na labda nitakaa kwa muda au hata nitakaa nanyi kipindi chote cha majira ya baridi, ili mnisindikize umbali fulani kule nitakapoenda. 7 Kwa maana sitaki kuwaona ninyi sasa ninapopita, kwa kuwa natumaini kukaa pamoja nanyi muda fulani,+ Yehova* akiruhusu. 8 Lakini nitakaa Efeso+ mpaka Sherehe ya Pentekoste, 9 kwa sababu nimefunguliwa mlango mkubwa unaoongoza kwenye utendaji,+ lakini kuna wapinzani wengi.

10 Sasa Timotheo+ akifika, hakikisheni kwamba haogopi chochote akiwa kati yenu, kwa maana anafanya kazi ya Yehova,*+ kama mimi. 11 Kwa hiyo, mtu yeyote asimdharau. Msindikizeni kwa amani ili aje kwangu, kwa maana ninamsubiri nikiwa pamoja na akina ndugu.

12 Basi kumhusu Apolo+ ndugu yetu, nilimhimiza sana aje kwenu pamoja na akina ndugu. Hakukusudia kuja sasa, lakini atakuja atakapopata nafasi.

13 Kaeni macho,+ simameni imara katika imani,+ endeleeni kuwa kama wanaume,*+ iweni na nguvu.+ 14 Mambo yote mnayofanya yafanyeni kwa upendo.+

15 Sasa ninawahimiza, akina ndugu: Mnajua kwamba nyumba ya Stefana ndiyo matunda ya kwanza ya Akaya na kwamba walijitoa kuwahudumia watakatifu. 16 Endeleeni kujitiisha kwa watu wa aina hiyo na kwa wale wote wanaoshirikiana na kufanya kazi kwa bidii.+ 17 Lakini ninashangilia kuwapo kwa Stefana+ na Fortunato na Akaiko, kwa sababu wamejazia kutokuwapo kwenu hapa. 18 Kwa maana wameiburudisha roho yangu na yenu. Kwa hiyo, watambueni watu wa namna hiyo.

19 Makutaniko ya Asia yanawatumia salamu zao. Akila na Priska pamoja na kutaniko lililo katika nyumba yao+ wanawasalimu kwa moyo mkunjufu katika Bwana. 20 Ndugu wote wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.

21 Hii ni salamu yangu, Paulo, kwa mkono wangu mwenyewe.

22 Ikiwa yeyote hampendi Bwana, mtu huyo na alaaniwe. Njoo, Ee Bwana wetu! 23 Na muwe na fadhili zisizostahiliwa za Bwana Yesu. 24 Upendo wangu na uwe pamoja nanyi nyote katika muungano na Kristo Yesu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki