Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 29
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli—Yaliyomo

      • Wafilisti hawamwamini Daudi (1-11)

1 Samweli 29:1

Marejeo

  • +1Sa 28:1
  • +Yos 19:17, 18; 1Sa 29:11

1 Samweli 29:2

Marejeo

  • +1Sa 28:2

1 Samweli 29:3

Marejeo

  • +1Sa 27:7, 12

1 Samweli 29:4

Marejeo

  • +1Nya 12:19
  • +1Sa 14:21

1 Samweli 29:5

Marejeo

  • +1Sa 18:7; 21:11

1 Samweli 29:6

Marejeo

  • +1Sa 21:10; 27:2
  • +1Sa 28:2
  • +1Sa 27:11, 12
  • +1Sa 29:3, 9

1 Samweli 29:9

Marejeo

  • +1Sa 27:12

1 Samweli 29:11

Marejeo

  • +Yos 19:17, 18; 1Sa 29:1

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 29:11Sa 28:1
1 Sam. 29:1Yos 19:17, 18; 1Sa 29:11
1 Sam. 29:21Sa 28:2
1 Sam. 29:31Sa 27:7, 12
1 Sam. 29:41Nya 12:19
1 Sam. 29:41Sa 14:21
1 Sam. 29:51Sa 18:7; 21:11
1 Sam. 29:61Sa 21:10; 27:2
1 Sam. 29:61Sa 28:2
1 Sam. 29:61Sa 27:11, 12
1 Sam. 29:61Sa 29:3, 9
1 Sam. 29:91Sa 27:12
1 Sam. 29:11Yos 19:17, 18; 1Sa 29:1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 29:1-11

Kitabu cha Kwanza cha Samweli

29 Wafilisti+ walikusanya majeshi yao yote kule Afeki Waisraeli walipokuwa wakipiga kambi karibu na chemchemi huko Yezreeli.+ 2 Na watawala wa Wafilisti walikuwa wakipita wakiwa na vikosi vyao vya mamia na maelfu, naye Daudi na wanaume wake walikuwa wakiwafuata nyuma wakiwa na Akishi.+ 3 Lakini wakuu wa Wafilisti wakauliza: “Waebrania hawa wamekuja kufanya nini?” Akishi akawajibu hivi wakuu wa Wafilisti: “Huyu ni Daudi, mtumishi wa Mfalme Sauli wa Israeli, naye ameishi pamoja nami kwa mwaka mmoja au zaidi.+ Tangu siku aliyokimbilia kwangu mpaka leo sijampata na kosa lolote.” 4 Lakini wakuu wa Wafilisti wakamkasirikia vikali Akishi na kumwambia: “Mrudishe mtu huyu.+ Acha arudi mahali ulipompa. Usimruhusu ashuke kwenda pamoja nasi vitani, asije akatugeuka na kutushambulia wakati wa vita.+ Kuna njia gani bora ya mtu huyu kupata kibali cha bwana wake isipokuwa kumpelekea vichwa vya wanaume wetu? 5 Je, huyu si Daudi waliyeimba kumhusu walipocheza dansi, wakisema:

‘Sauli ameua maelfu yake,

Na Daudi makumi yake ya maelfu’?”+

6 Basi Akishi+ akamwita Daudi na kumwambia: “Kwa hakika kama Yehova anavyoishi, wewe ni mnyoofu, nami ningependa uende vitani pamoja na jeshi langu,+ kwa sababu tangu siku uliyokuja kwangu mpaka leo sijakupata na kosa lolote.+ Lakini watawala hawakuamini.+ 7 Hivyo rudi kwa amani, na usifanye jambo lolote ambalo halitawapendeza watawala wa Wafilisti.” 8 Lakini Daudi akamuuliza Akishi: “Kwa nini? Nimefanya nini? Ni kosa gani ambalo umenipata nalo mimi mtumishi wako tangu siku niliyokuja kwako mpaka leo? Kwa nini nisiende pamoja nawe kupigana na maadui wako, bwana wangu mfalme?” 9 Akishi akamjibu hivi Daudi: “Kwa maoni yangu, umekuwa mwema kama malaika wa Mungu.+ Lakini wakuu wa Wafilisti wamesema, ‘Usimruhusu apande pamoja nasi kwenda vitani.’ 10 Sasa amka asubuhi na mapema pamoja na watumishi wa bwana wako waliokuja nawe; amkeni na kuondoka asubuhi na mapema mara tu kutakapopambazuka.”

11 Basi Daudi na wanaume wake wakaamka asubuhi na mapema ili warudi katika nchi ya Wafilisti, nao Wafilisti wakapanda kwenda Yezreeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki