WANAZI, UTAWALA WA
(Ona pia Hitler, Adolf; Kambi za Mateso; Maangamizi Makubwa [Enzi ya Wanazi]; Ujerumani [Wakati wa Utawala wa Wanazi])
(Kuna vichwa vidogo: Manukuu; Mashahidi wa Yehova)
Austria: w05 5/1 24
Czechoslovakia:
Ngome ya Terezín: g 3/12 19-20
Kanisa Katoliki:
hati We Remember: A Reflection on the Shoah: g99 6/22 30; g98 10/22 26-27
kitabu The Catholic Church and Nazi Germany: re 270-271
laichochea serikali iwapinge Mashahidi: jv 659
lawaomba Wayahudi msamaha: g98 4/22 29
liliunga mkono utawala wa Wanazi: re 40, 237-238, 244
kilichowafanya watu waliojidai kuwa ni Wakristo wawaunge mkono Wanazi: g02 8/8 6; w00 9/1 32
makasisi waliwaunga mkono Wanazi: re 39-40; w97 8/15 32
“Agano Jipya” lililosahihishwa: w97 10/1 19
Nzige:
raia hawakujali: g 10/12 27
von Papen alivyohusika: re 237
wapata mamlaka: re 237-238
watu wa makanisa walinyamaza: w00 9/1 32
Manukuu
Mashahidi wa Yehova:
dini pekee iliyokataa kabisa kukubali madai ya utawala wa Hitler: w05 8/15 30
hakuna kikundi kingine kilichopatwa na ukatili wa askari wa SS kama Wanafunzi wa Biblia: jv 553
hatimaye hata SS waliwaheshimu: jv 664
hawakushirikiana na sehemu yoyote ya serikali ya Wanazi: re 39
hawakuwa na shaka juu ya msingi wao, kwa sababu imani yao ilikuwa imekuwa dhahiri tangu wakati wa Abeli: jv 664
hawa wachongewao na kudhihakiwa ndio waliosimama imara: w97 8/15 32
imani katika Mungu na itibari katika ahadi za Biblia ziliwapa nguvu za kusimama imara: g97 6/22 15
imani thabiti: re 102
kani imara ya kimafundisho: jv 663
kikundi kidogo sana chenye nguvu za [adili] za daima: g98 11/22 13; jv 663
kipingamizi kikubwa zaidi kwa Wanazi kilikuwa msimamo wao wa kutokuwamo katika mambo ya kisiasa: g98 11/22 13; jv 194
makanisa ya Kikristo hayakupinga harakati za Usoshalisti wa Kitaifa kama walivyofanya Mashahidi: w01 6/1 21
mmoja kati ya kila Mashahidi wawili alifungwa gerezani, mmoja kati ya wanne alipoteza uhai: w96 2/1 6
mnyanyaso hadi kifo uliwapata wao tu: w00 4/1 25
msimamo wao ulikuwa na uvutano mzuri kwa wafungwa wengine: g 4/06 11
mwanga katika enzi yenye giza: g97 6/22 14
njia zilizokuwa zimetumiwa kwa muda mrefu za mnyanyaso, mateso, kufungwa gerezani na kudhihakiwa hazikuwafanya Mashahidi wageuke wawe na msimamo wa Nazi: jv 664
shirika hili (la Wayahudi) latambua na kustaajabia imani yao: g00 4/8 31
tunawakumbuka kwa staha sana watu hawa: g97 6/22 14
ulishindwa na Mashahidi pekee: w01 7/15 19; jv 553
wajapokabiliwa na matatizo makubwa ajabu, Mashahidi katika kambi walikutana na kusali pamoja, wakatokeza fasihi na kugeuza watu wafuate imani yao: jv 663
walikataa kuidhinisha au kuunga mkono utawala wa Wanazi: w00 9/1 32
walikataa kushirikiana kwa vyovyote na Wanazi: w04 2/15 6-7
walinyanyaswa kwa sababu za kidini tu: jv 660
walishinda vita dhidi ya Unazi: jv 663
waliteta, tangu mwanzoni, kwa umoja, na kwa ujasiri mkubwa: g98 10/22 27
wana umoja na msimamo wa ujasiri unaofanya tuwaheshimu: w11 10/1 14
wangaliweza kuachiliwa papo hapo: w05 8/15 30
wao pekee walikinza Wanazi: w97 8/15 32
watu wa kawaida walioshikilia kwa uthabiti imani yao: w05 8/15 30
wote waliowaona wakifa waliguswa moyo sana, na hata kikosi cha wauaji chenyewe kiliguswa moyo: jv 663
Mashahidi wa Yehova
alama ya pembetatu ya zambarau: w07 9/1 10; w06 2/15 32
amtendea kwa upendo jirani aliyemripoti kwa Wanazi ili akamatwe (Ufaransa): g98 10/22 7
barua ambazo Mashahidi waliandika kabla tu ya kuuawa: w09 12/15 27; yb09 169; w07 7/15 31; w05 5/1 18; w03 1/15 32; w01 11/15 32; jv 662
barua zilizoandikiwa Hitler na serikali ya Hitler: w11 10/1 14; g03 1/8 31; jv 315, 552, 693-694
‘hati ya kukana imani’ ilienezwa na Wanazi: w11 1/15 11; g03 9/8 19; jv 660, 663
yaliyomo: jv 661
Jumba la Makumbusho la Maangamizi Makubwa (Marekani):
maonyesho kuwahusu Mashahidi wa Yehova nchini Uholanzi: g99 9/22 24-25
kambi za mateso: w04 10/15 27-28; jv 659-665, 720
watu waliookoka wawasifu Mashahidi: g 8/07 30
Kanisa Katoliki laichochea serikali iwapinge Mashahidi: jv 659
Kikosi Maalumu cha Gestapo cha kuwakomesha Mashahidi: jv 553
maelezo ya—
de Gaulle, Geneviève: w05 8/15 30; jv 664
Gluck, Gemma La Guardia: w06 8/1 6
maelezo ya Mashahidi waliohukumiwa kifo: w07 7/15 31
maonyesho barani Ulaya (1995): g96 6/8 16-19
maonyesho huko Auschwitz (2004): g 4/06 10-11
Mashahidi wakamatwa: jv 553
Mashahidi walioteseka wakati wa utawala wa Wanazi wasifiwa:
bamba la ukumbusho (Hungaria) (2002): w03 1/15 32
wasemaji kwenye siku ya kuwakumbuka walioteseka huko Auschwitz (2003): w05 8/15 30
Mashahidi Wayahudi: g01 12/22 19-23; w98 6/1 28-31
mateso: w08 9/15 8; re 39-40; w01 3/15 8-9; w00 4/1 19, 24-28; jv 552-553, 659-665
mwaminifu hadi kifo: w04 12/1 28
mwenendo wa mfanyakazi wa nyumbani wavutia familia: w05 5/1 31
Poland: w07 9/1 9-11; w04 10/15 27-28
ripoti ya mwanafunzi wa shule “Waathiriwa Waliosahauliwa wa Utawala wa Nazi”: w04 9/1 29
serikali ya Hitler yaandikiwa telegramu: jv 315, 552, 693-694
simulizi la maisha la msichana ambaye wazazi wake waliuawa: w04 12/1 24-29
tisho la Hitler: w05 12/15 22; jv 552-553
Ukrainia: g00 9/22 19-20
ushikamanifu kwa Mashahidi wenzi: w01 10/1 23
uwongo wa kwamba Mashahidi walishirikiana na Wanazi: g05 10/22 10; g98 7/8 10-14
video kuhusu msimamo wa Mashahidi wakati wa Wanazi (Jehovah’s Witnesses Stand Firm Against Nazi Assault): w01 6/1 21; g97 6/22 14-15
vitabu vya ulimwengu kuwahusu Mashahidi wakati wa utawala wa Wanazi:
Betrayal—German Churches and the Holocaust: w00 9/1 32
Between Resistance and Martyrdom—Jehovah’s Witnesses in the Third Reich: w11 4/15 21
Commandant of Auschwitz: jv 663
Ideology of Death: w97 8/15 32
Imprisoned for Their Faith—Jehovah’s Witnesses in Auschwitz Concentration Camp: g 4/06 11
Kirchenkampf in Deutschland: re 102
Les Témoins de Jéhovah face à Hitler: w99 10/15 32
Mothers in the Fatherland: re 39
My Story: w06 8/1 6
New Religious Movements: A Perspective for Understanding Society: jv 664-665
The Churches’ Response to the Holocaust: g98 11/22 13; jv 194
The Nazi State and the New Religions: Five Case Studies in Non-Conformity: jv 553, 663
Values and Violence in Auschwitz: jv 663
walikataa kukana imani: w06 8/1 6; re 39, 102; w05 8/15 30; jv 660-661
tofauti na makanisa: w97 8/15 32
walikataa kumtukuza Hitler: g 8/11 18; w04 12/1 25; jv 196, 669
waliponea chupuchupu: re 21; w04 12/1 27; w97 8/1 21
Wanazi ambao baadaye walikuja kuwa Mashahidi:
Bernhardt, Gottlieb: g 2/10 18-20
wasifiwa kwa ujasiri wao: w05 8/15 30; w01 6/1 21
watoto wadumisha utimilifu: g 8/11 18-20; w09 6/15 4
watoto watenganishwa na wazazi: g 8/11 18-20; w07 9/1 9; w04 10/15 28
watu mbalimbali:
Alfermann, Joachim: w07 10/15 32
Engleitner, Leopold: w05 5/1 23-28
familia ya Danner: w09 6/15 3-6
Hisiger, Joseph: w09 3/1 20-23
Holtorf, Ferdinand na Natalie: w05 1/1 18-23
Letonja, Anton: g03 2/8 16-20
Liska, Hermine: g 8/11 18-20
Reuter, Georg: w97 4/15 15
Riet, Narciso: w05 6/15 32