Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Aprili uku. 2
  • Useja Ni Zawadi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Useja Ni Zawadi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Tumia Vizuri Kabisa Useja Wako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • ‘Ifanyie Nafasi’
    Huduma Yetu ya Ufalme—2003
  • Kuna Faida za Kukaa Bila Kuoa au Kuolewa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Useja—Faida na Nafasi Zake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Aprili uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | 1 WAKORINTHO 7-9

Useja Ni Zawadi

7:32, 35, 38

Kwa miaka mingi, Wakristo wengi wametambua kwamba useja una faida kwani unawapa nafasi ya kupanua utumishi wao, uhuru wa kutumia wakati na nguvu kuwasaidia ndugu na dada wengi zaidi, na kumkaribia Yehova zaidi.

Ndugu watatu waseja wakiwa katika ziara ya kutoa ushahidi kotekote Australia mnamo 1937; dada mseja akiwasili kwenye mgawo wake nchini Mexico mnamo 1947

Kuzunguka Australia ili kutoa ushahidi, 1937; Mhitimu wa Gileadi akiwasili kwenye mgawo wake nchini Mexico, 1947

Ndugu mseja akihubiri nchini Brazili; wanafunzi waseja wakihudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme nchini Malawi

Kuhubiri nchini Brazili; kuhudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme nchini Malawi

JAMBO LA KUTAFAKARI: Ikiwa wewe ni mseja, unaweza kuutumiaje vizuri zaidi?

Wengine kutanikoni wanaweza kufanya nini ili kuwatia moyo na kuwategemeza waseja?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki