Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt kur. 1893-1894
  • 1 Timotheo—Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • 1 Timotheo—Yaliyomo
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Kitabu cha Biblia Namba 54—1 Timotheo
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Shika Imani na Dhamiri Njema
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Ujitoaji-Kimungu
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Karibu Kwenye “Ujitoaji Kimungu” Mikusanyiko ya Wilaya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Timotheo—Yaliyomo

1 TIMOTHEO

YALIYOMO

  • 1

    • Salamu (1, 2)

    • Onyo dhidi ya walimu wa uwongo (3-11)

    • Paulo atendewa kwa fadhili zisizostahiliwa (12-16)

    • Mfalme wa umilele (17)

    • ‘Pigana vita vizuri’ (18-20)

  • 2

    • Kusali kwa ajili ya watu wa namna zote (1-7)

      • Mungu mmoja, mpatanishi mmoja (5)

      • Fidia inayolingana kwa ajili ya wote (6)

    • Maagizo kwa wanaume na wanawake (8-15)

      • Kuvaa kwa kiasi (9, 10)

  • 3

    • Sifa za kustahili kuwa waangalizi (1-7)

    • Sifa za kustahili kuwa watumishi wa huduma (8-13)

    • Siri takatifu ya ujitoaji-kimungu (14-16)

  • 4

    • Onyo dhidi ya mafundisho ya roho waovu (1-5)

    • Jinsi ya kuwa mhudumu mzuri wa Kristo (6-10)

      • Tofauti kati ya mazoezi ya kimwili na ujitoaji-kimungu (8)

    • Angalia kufundisha kwako (11-16)

  • 5

    • Jinsi ya kuwatendea vijana na wazee (1, 2)

    • Kuwasaidia wajane (3-16)

      • Kuandaa mahitaji ya watu wa nyumba yako (8)

    • Kuheshimu wazee wenye bidii (17-25)

      • “Divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako” (23)

  • 6

    • Watumwa wawaheshimu mabwana wao (1, 2)

    • Walimu wa uwongo na kupenda pesa (3-10)

    • Maagizo kwa ajili ya mtu wa Mungu (11-16)

    • Kuwa tajiri katika matendo mema (17-19)

    • Linda mambo uliyokabidhiwa (20, 21)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki