Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 10/1 uku. 22
  • Bei ya Njaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Bei ya Njaa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Una Malaika Mlinzi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Hasara Kubwa ya Utumiaji wa Vileo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Je, Una Malaika Anayekulinda?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2017
  • Njaa Ina Maana Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 10/1 uku. 22

Bei ya Njaa

Watu wasiopungua milioni 30 ulimwenguni pote wanakufa njaa kila mwaka, kulingana na gazeti Guardian la Manchester, Uingereza. Na ili kununua chakula kinachotosha kuwaokoa, jumla ya dola 12,000,000,000 zinahitajiwa. Ingawa mataifa yanatatizwa sana kuweza kupata jumla ya pesa hizo ili kuokoa wenye njaa, “jumla iyo hiyo ya pesa inatumiwa kutengeneza silaha za vita katika muda wa siku 10,” linasema gazeti Guardian. Kweli hizi “siku za mwisho” ni zenye “nyakati za hatari zilizo ngumu kushughulika nazo.”​—2 Timotheo 3:1, NW.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki