Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 5
  • Ametumbukiza Zaidi ya Wote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ametumbukiza Zaidi ya Wote
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Maisha Katika Nyakati za Biblia—Pesa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Je, Wajua?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Mfano wa Kuigwa—Yule Mjane Maskini
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Sarafu Mbili Zenye Thamani Ndogo
    Huduma Yetu ya Ufalme—2012
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 5
Mjane maskini akitumbukiza sarafu mbili katika sanduku la hazina hekaluni

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 11-12

Ametumbukiza Zaidi ya Wote

12:41-44

Simulizi hilo linatusaidiaje kujifunza mambo yafuatayo?

  • Yehova anathamini tunachofanya

  • Fanya yote uwezayo katika utumishi wa Yehova

  • Usilinganishe yale unayofanya na yale ambayo wengine wanafanya au na yale uliyoweza kufanya wakati uliopita

  • Maskini hawapaswi kusita kutoa mchango hata ikiwa ni mdogo tu

Umejifunza masomo gani mengine?

JE, ULIJUA?

Leptoni mbili

Leptoni

Inawezekana sarafu ambazo mjane alitumbukiza kwenye sanduku la hazina zilikuwa leptoni mbili. Mfanyakazi angelipwa leptoni mbili kwa kufanya kazi ya dakika 15 tu. Yesu alifundisha somo muhimu kutokana na mchango wa mjane wa sarafu hizi mbili zenye thamani ndogo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki