Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 6
  • Wanaume Wenye Kiasi Huwazoeza na Kuwakabidhi Wengine Majukumu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wanaume Wenye Kiasi Huwazoeza na Kuwakabidhi Wengine Majukumu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Wazee—Kabidhini Wengine Kazi!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1992
  • “Mambo Hayo Uwakabidhi Watu Waaminifu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Kwa Nini Uwakabidhi Wengine Kazi—Unaweza Kufanya Hivyo Jinsi Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Kusitawisha Kiasi cha Kikristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 6
Picha: Mzee mwenye uzoefu akimzoeza ndugu hatua kwa hatua ili aweze kuchukua madaraka makubwa zaidi kutanikoni. 1. Ndugu akishika mikrofoni huku yule mzee akitoa maelezo mikutanoni. 2. Ndugu akiandamana na mzee mwenye uzoefu kwenye ziara ya uchungaji. 3. Ndugu huyo, ambaye sasa ni mzee, akizungumza wakati wa mkutano wa wazee. 4. Mzee huyo mpya akiongoza Funzo la ‘Mnara wa Mlinzi’. Yule mzee mwenye uzoefu ndiye msomaji.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 17-18

Wanaume Wenye Kiasi Huwazoeza na Kuwakabidhi Wengine Majukumu

18:17, 18, 21, 22, 24, 25

Ndugu wenye uzoefu huonyesha kiasi, upendo, na wanaonyesha wanafikiria mahitaji ya wakati ujao wanapowazoeza na kuwakabidhi majukumu akina ndugu wenye umri mdogo. Jinsi gani?

  • Teua wale wenye uwezo wa kushughulikia majukumu zaidi katika utumishi wa Yehova

  • Eleza waziwazi kile kinachohitajika ili kutimiza kazi fulani

  • Andaa pesa, vifaa, na msaada unaohitajika ili kutimiza kazi

  • Fuatilia maendeleo ya yule unayemzoeza, na umhakikishie kwamba unaamini kwamba ana uwezo wa kukamilisha kazi hiyo

JIULIZE, ‘Ninaweza kuwakabidhi wengine majukumu gani?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki