-
Waebrania 2:10Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
10 Kwa maana ilifaa yule ambaye kwa ajili yake vitu vyote vipo na kupitia kwake vitu vyote vipo, katika kuleta wana wengi kwenye utukufu, amfanye Wakili Mkuu wa wokovu wao kuwa mkamilifu kupitia mateso.
-