-
Ufunuo 4:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 Na kiumbe hai wa kwanza ni kama simba, na kiumbe hai wa pili ni kama fahali mchanga, na kiumbe hai wa tatu ana uso kama wa mwanadamu, na kiumbe hai wa nne ni kama tai anayeruka.
-