-
Ufunuo 13:14Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
14 Naye huongoza vibaya wale wakaao juu ya dunia, kwa sababu ya ishara alizopewa ruhusa kufanya mbele ya macho ya hayawani-mwitu, huku akiwaambia wale wakaao juu ya dunia wafanye sanamu ya hayawani-mwitu aliyekuwa na pigo la upanga na bado akarudia uhai.
-