Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Kujiua

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujiua
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maeneo Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

KUJIUA

(Kuna kichwa kidogo: Maeneo Mbalimbali)

chati:

idadi ya wanaume na wanawake wanaojiua, katika nchi mbalimbali, wa umri mbalimbali: g00 2/22 3

mambo yanayochangia na dalili zinazoonyesha kwamba mtu anafikiria kujiua: g00 2/22 6

dalili zinazoonyesha kwamba mtu anafikiria kujiua: g 5/08 29; g00 2/22 6; g98 9/8 6

kujilaumu kwa sababu mpendwa alijiua: w04 11/15 29; g01 10/22 12; g00 2/22 5-6

kukabiliana na fikira za kujiua: g 1/12 16-18; g01 10/22 8-12

kumzuia mtu anayetaka kujiua: w00 9/15 3-7; g98 9/8 8-10

kupata msaada wa kukabili matatizo: g 1/12 17-18; yp1 101-104; g 5/08 27-28; g01 10/22 8-12

mambo ambayo wengine wanaweza kufanya: g 1/12 18; yp1 101; g 5/08 27; g01 10/22 9

msaada wa wazazi: yp1 311; g 5/08 29

tumaini la ulimwengu mpya: g00 2/22 8-9

maelezo: g01 10/22 3-7

makala za Amkeni! zathaminiwa: g 12/06 28; g02 6/8 30; g02 7/8 30; g00 11/8 30; g99 5/8 30

mambo yaliyoonwa:

baba afa, mume asiye mwaminifu: w00 9/15 6-7

binti ya mwanamke Mbudha: yb04 59-60

mlemavu: g01 10/22 10

mtu abadili nia baada ya kusoma Amkeni!: g01 10/8 32

mtu aliyeachwa na mke na watoto: g01 10/22 8, 10-11

mtu aliyepoteza kazi na familia: yb08 47

mwana afa katika msiba wa barabarani: w00 9/15 6

mwanamke aliyekuwa karibu kujiua, na kuwaua watoto wake: yb04 57

mwanamke aliyependa kushirikiana na watu mashuhuri na ambaye aliishi maisha yasiyo na kusudi: w09 2/1 27-28

mwanamke mzee mwenye mume mgonjwa: g00 2/22 3, 5, 7

mwanamume mwenye matatizo ya familia: yb10 49-50

mwizi: g 7/06 11-13

vijana ambao wamefikiria kujiua: w11 8/1 21-22; g98 9/8 10

mambo yanayochangia: yp1 99-101; g 5/08 26-27; g01 10/22 5-7; w00 9/15 3; g98 9/8 5-8

kushuka moyo: g01 9/8 4, 6

maoni ya watu katika utamaduni mbalimbali: g01 10/22 3-4

maoni ya Biblia:

hisia za kutaka kujiua: g01 10/22 11

tumaini la ufufuo: g00 2/22 6-7

mazishi ya mtu aliyejiua: w02 6/15 30-31

orodha ya mambo yanayochangia: g00 2/22 6

vijana: g01 9/8 4, 6; g98 9/8 4-10; w97 12/1 3-4

kijana anavyoweza kufanya ikiwa ndugu yake amejiua: g 9/09 29; g 6/08 18-20

kushinda hisia za kutaka kujiua: yp1 98-104; g 5/08 26-29

visa vya kujiua vinaongezeka: g05 6/8 28; g03 5/22 28; g01 4/8 28; g01 10/22 3; w00 9/15 3

vijana: g 5/08 29

wanaume na wanawake: g01 10/22 6

vituo (tovuti) vya Intaneti: g04 11/22 28

wanawake: g97 3/8 28-29

watoto: g04 5/22 28-29; g02 4/8 28

idadi ya watoto ambao wamefikiria kujiua: g 5/07 11

wazee: w06 6/1 3; g00 2/22 3-9; g99 4/8 31

Maeneo Mbalimbali

India: g 3/12 28; g 5/09 30; g01 10/22 3

Japani: g 11/06 27; g01 3/8 28; g00 1/22 28

mashambulio yanayohusisha kujiua kwa washambuliaji (Vita vya Pili vya Ulimwengu): g02 12/8 18-20

seppuku (hara-kiri): g01 10/22 3-4

Korea Kusini: g04 4/8 29

Marekani: g01 11/22 29; g96 10/8 28

Daraja la Golden Gate: g96 2/22 29

vijana: g 5/08 29

Masada:

ngome ya Masada ilipozingirwa na jeshi la Waroma (73 W.K.): w96 8/1 4-5

Ufaransa: g00 9/8 28

Uholanzi:

mauaji ya huruma yahalalishwa: g01 8/8 29

Uingereza: g97 3/8 28-29

Urusi: g 9/12 27

uwongo wa kwamba watu waliojiua ni Mashahidi: g05 10/22 10; g00 6/22 8

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki