Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Uzima wa Milele

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uzima wa Milele
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UZIMA WA MILELE

(Ona pia Kutoweza Kufa)

Adamu na Hawa: rs 329

agano la Sheria halikuwawezesha watu kupata uzima wa milele: w09 8/15 6

ahadi ya wakati ujao: w99 6/1 4-7

ahadi ya Yesu kwamba baadhi ya watu ‘hawatakufa kamwe’ (Yoh 11:26): w05 4/15 5; rs 331; ie 30

ahadi za wanasayansi: w12 6/1 29; w06 10/1 3, 5; g00 7/8 20-22; g00 12/8 18-19; w99 4/15 4-6; w99 10/15 5-6; g98 5/22 32

baraka: cl 319; gf 31; w99 4/15 12-13

duniani: w09 8/1 23; w09 8/15 3-16; w06 10/1 6; g 5/06 9; w98 2/15 17-22

maoni ya dini zinazodai kuwa za Kikristo: w09 8/15 12-13

maoni ya Wanafunzi wa Biblia: w09 8/15 14-15; w98 2/15 19; jv 161-163

mashahidi walioishi kabla ya Ukristo: w09 8/15 3-7

Mungu atakapowapa watu uzima wa milele: w07 1/1 25; re 290

tumaini la kuishi duniani limefunuliwa hatua kwa hatua: w09 8/15 13-16; w98 2/15 19-20

“kama siku za mti” (Isa 65:22): w09 8/15 16; ip-2 386-387

kuchagua: w03 5/15 32

kuokoka ili kupata uzima wa milele: w98 12/15 14-15

kusudi la Mungu kuwahusu wanadamu: rs 329-330

maandalizi:

fidia: w06 10/1 4-5

mto unaotoka Yerusalemu Jipya (Ufu 22): w10 2/15 14-15; w08 6/1 14-15; re 310-311, 318

maelezo: w06 10/1 3-7; w04 11/15 3-7; w99 4/15 4-14

makala za Amkeni! zathaminiwa: g96 7/8 30

maoni ya watu wasiothamini uzima wa milele:

utachosha: w11 5/1 27; w06 10/1 7; w04 11/15 5; w99 10/15 6-7

uzima hautathaminiwa: w04 11/15 5-6

msingi wa kuupokea: rk 30-31; my 116; rs 78-80; w99 4/15 13-14

‘kuendelea kupata ujuzi’ (Yoh 17:3): w12 6/1 9; w05 4/15 4-7; lr 255

si malipo: rs 78-79; jv 293

tumaini la uzima wa milele: w12 10/1 16-17; la 29-31; w00 10/15 19-20; w99 10/15 6-7; g99 7/22 11-13

kabla ya Ukristo: w09 8/15 3-7

kulikazia fikira: w09 3/15 11-15; w04 4/1 20-23

ni jambo linalopatana na akili: w04 11/15 3-4; la 21; w99 6/1 3-4

si la ubinafsi: w04 11/15 6-7; w03 8/1 22

si ndoto: ct 189-191; w97 8/15 13-14

watu wametumaini kuishi milele tangu siku za kale: w06 10/1 5

uchunguzi:

kama tarajio la kuishi milele linavutia watu (Marekani): w99 4/15 12

uthibitisho wa kwamba mwanadamu aliumbwa aishi milele: g 12/07 6-7; g 5/06 7-8; w04 11/15 3-4; rs 331; g04 8/8 11-12; w99 4/15 4-7; ct 180-181; g98 6/22 9-10

wanadamu wanazaliwa na tamaa ya kuishi milele: g 12/07 6; w06 10/1 4; la 29; w99 4/15 5-6; g98 6/22 8-9

wanyama hawakuumbwa waishi milele: g 5/06 8; g04 2/22 6, 9

‘wenye mwelekeo unaofaa kwa ajili ya uzima’ (Mdo 13:48): w00 7/1 11-12

Yehova anataka watu wapate uzima wa milele: w10 1/1 29; jd 139-151

Yesu aliyomaanisha alipozungumzia “uzima wa milele”: w09 8/15 9-10

zawadi: w98 2/15 24-25

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki