UPASUAJI (Tiba)
(Ona pia Halmashauri za Uhusiano na Hospitali; Hospitali; Kupandikizwa [Viungo vya Mwili]; Kutia Damu Mishipani; Madaktari; Matibabu [Tiba])
glavu ambazo zimetoboka: g96 9/22 28
kuboresha sura: g04 12/22 6; g03 4/22 30; g02 8/8 29; g02 8/22 18-20
kufunga uzazi:
maoni ya Biblia: w99 6/15 27-28
kufyonza mafuta: g04 11/8 11
kukata mguu: g97 4/22 21-23
kupandikiza viungo vya mwili:
ini: g00 1/8 3
uhaba wa viungo: g96 9/22 29
kupunguza unene: g04 11/8 9
kushona vidonda:
kufunga vidonda kwa zipu badala ya kuvishona: g04 3/8 28
kuweka nyonga: g99 8/22 30
kuzaa kwa kufanyiwa upasuaji:
njia ya Misgav-Ladach: g99 5/8 29
manufaa ya kuwapasha wagonjwa joto: g02 6/22 31; g97 6/22 29
manufaa ya muziki wakati wa kufanyiwa upasuaji: g 5/08 22-23
mashine ya kusaidia moyo na mapafu: km 11/06 6
matumizi ya damu:
kuhifadhi damu inayotoka wakati wa upasuaji kisha kuirudisha mwilini: km 11/06 6; w00 10/15 31
kuihifadhi na kuirudisha mwilini tena: km 11/06 4; w00 10/15 30-31
uzimuaji wa damu (hemodilution): km 11/06 6
mgonjwa apaswa kumweleza daktari kuhusu dawa na mitishamba anayotumia: g04 10/22 30
mimea inamsaidia mtu kupona baada ya upasuaji: g 9/09 30
moyo:
aspirini baada ya upasuaji wa moyo: g03 9/8 28
kamera ya video inayoingizwa mwilini yatumiwa: g96 11/8 29
madhara ya kutia damu mishipani: g 1/09 30
ndoa inaweza kuzuia au kusaidia mtu kupona: g03 10/8 28-29
upasuaji wa moyo bila kumtia mgonjwa damu: g96 1/22 31
watoto: rs 45-46
nusukaputi (dawa zinazomfanya mtu alale wakati wa upasuaji): g 9/07 29; g01 7/22 30; g00 11/22 21-23
wagonjwa wanasikia baada ya kutiwa dawa za nusukaputi: g96 11/22 29
roboti zinazofanya upasuaji: g 9/08 17; g 1/07 5, 7; g99 1/22 28
tezi ya kibofu: g00 12/8 22
ubongo:
Kisu cha Gamma (upasuaji unaofanywa kwa kutumia mnururisho): g98 2/22 20-21; w96 3/15 31
upasuaji wa uvimbe wa ubongo (meningioma) wafaulu bila kutia damu mishipani: w96 3/15 31
watoto:
moyo: rs 45-46; g00 3/22 23
watoto wachanga:
moyo: g00 9/8 31