MAHAKAMA
(Ona pia Kesi; Maamuzi ya Mahakama Kuu; Mahakimu; Sanhedrini; Waamuzi)
(Kuna kichwa kidogo: Maeneo Mbalimbali)
haki ya kuwalea watoto: g97 12/8 4-8, 10-11
mambo ambayo mahakimu wanachunguza hasa: g97 12/8 4-7, 10-11
mapatano bila kupeleka kesi mahakamani: g97 12/8 4, 7-8
suala la dini: g97 12/8 5-7
jinsi ya kujiendesha mahakamani:
Paulo ni mfano wa kuigwa: bt 193-194, 198, 201
kesi kuhusu kutiwa damu mishipani: w96 11/15 24
Mashahidi ni wa kwanza kupeleka kesi mahakamani: jv 185-186
mgonjwa ana haki ya kukataa kutiwa damu: yb11 26; g98 8/22 11; w97 8/1 32
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu: yb12 34; g96 3/8 20-21
mambo yaliyoonwa:
hakimu ashangaa: w06 12/1 32
kasisi ashindwa kutoa uthibitisho kuhusu toharani: jv 682
mwandishi wa mahakamani athamini Amkeni!: g98 7/8 32
maoni ya Kikristo kuzihusu:
kuwapeleka Wakristo wenzi mahakamani: w97 3/15 21-22; w97 4/15 27; w96 3/15 15
viapo: w12 10/15 27; w03 1/15 21
Mashahidi wa Yehova: bt 186; jt 8; w98 12/1 19-22; jv 678-701
Mahakama Kuu yabadili maamuzi (Marekani): jv 687
Majumba ya Kusanyiko: jv 331-332
maoni ya Mashahidi kuhusu kuapa (kula kiapo): w01 8/15 20-21; w97 11/15 22
maoni ya Mashahidi kuhusu kukata rufani: bt 200
maoni ya Mashahidi kuhusu kulipa faini kwa sababu ya kuhubiri: jv 683
maoni ya Mashahidi kuhusu kushiriki katika baraza la raia la mahakama: w97 4/1 27-29; w97 4/15 27
Mashahidi waelimishwa kushughulikia kesi za mahakamani: jv 690-692
suala la kusambaza vitabu bila kibali: jv 681
vibali: jv 681-682, 697-698
wamesaidia kutatua masuala ya sheria za kikatiba: bt 200; w01 5/15 32; w98 12/1 20; g98 4/22 22; jv 690, 698-699; g96 7/22 5
wametolea demokrasia utumishi mkubwa (manukuu): jt 8; g96 7/22 5
miungu mahakamani: ip-2 51-54, 64-65, 70-72
kilichofanya watu wa Mungu waitwe Mashahidi wa Yehova: jv 17-18
ukosefu wa haki:
mambo yanayochangia: w98 6/15 27-28
visa mbalimbali: w98 6/15 26-28
wakati mahakimu wanapotoa hukumu nzuri: g 3/12 28
wanasayansi wanaofanya utafiti ili kupata uthibitisho wa kisa cha uhalifu: w98 6/15 28; g98 3/8 6
wasanii wanaochora vikao vya mahakamani: g03 4/8 14-15
Yehova ahukumu:
“Mzee wa Siku” (Da 7): w12 10/1 18; dp 144-148
Maeneo Mbalimbali
Afrika Kusini:
Mahakama Kuu ya Johannesburg yatetea msimamo wa wanafunzi Mashahidi (1976): yb07 122-123
Mahakama ya Wafanyakazi yaamua kwamba Wanabetheli si wafanyakazi wa kuajiriwa (2009): yb10 16-17
Altay, Jamhuri ya:
Mashahidi wadaiwa kuwa wenye msimamo mkali wa kidini: w11 5/1 18-19; yb11 26-27
Shahidi ashtakiwa kwa kuchochea chuki ya kidini (2010): yb12 42-43
Argentina:
waziri wa mambo ya sheria amwondolea hatia Shahidi aliyefungwa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi (2007): yb08 18
Armenia:
Mahakama Kuu yaamua kwamba mzee wa kutaniko hana hatia (2002): w03 4/1 11-14
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaombwa kusikiliza kesi za Mashahidi waliofungwa kwa sababu ya kukataa utumishi wa jeshi: w12 8/15 17; w12 11/1 29-31; yb12 34-35; yb11 21; yb10 17; yb08 18-19
Mashahidi washtakiwa kwa kukataa kufanya utumishi wa kiraia usiopatana na dhamiri zao (2006): yb08 18
vifungo virefu kwa watu wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri (2003): yb04 18
Australia:
marufuku juu ya Mashahidi yaondolewa (1943): re 92; jv 657
Austria:
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yamtetea Shahidi katika kesi kuhusu haki ya kuwalea watoto (1993, 1996): g96 3/8 21
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yatetea uandikishaji wa kisheria wa dini ya Mashahidi (2005, 2008, 2009): yb10 16; yb09 26; yb06 14
Azerbaijan:
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaombwa itetee uhuru wa ibada (2007): yb09 26-27
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaombwa kuamua kesi inayohusu machapisho (2010): yb11 22
Bulgaria:
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yawatetea wamishonari waliofukuzwa (2003-2004): yb05 10; yb04 18
Denmark:
usambazaji wa vitabu vya Mashahidi: jv 495
El Salvador:
mahakama kuu yatetea haki ya mgonjwa kupata matibabu (1998): g99 5/22 29
Filipino:
kusalimu bendera na kuimba wimbo wa taifa si takwa (1993): w98 12/1 22
Georgia, Jamhuri ya:
mahakama kuu yafuta uandikishaji wa Mashahidi (2001): g02 1/22 22-23
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaamua dhidi ya serikali katika kesi kuhusu kuteswa kwa Mashahidi (2001/2002, 2004, 2007): w08 3/1 11; yb08 16-17; g 2/08 29; yb06 15; yb05 11
watesaji wafikishwa mahakamani (2001-2003): yb04 18-19
Hispania:
mama Shahidi apata haki ya kuwalea watoto (2008): g 7/10 14
India:
si lazima watoto Mashahidi waimbe wimbo wa taifa (1986): re 43
Israeli:
haki ya Mashahidi ya kutumia jumba fulani kwa ajili ya kusanyiko yatetewa (2007): yb08 19-20
Israeli (la kale):
mahakama katika majiji mbalimbali: w06 2/15 31
Sanhedrini: bt 39; w06 2/15 31
utaratibu: w11 4/1 20
Italia:
haki ya kukataa kutiwa damu mishipani baada ya kuarifiwa yatetewa: w96 11/15 24
hati za kuwakamata maofisa wa benki ya Vatikani zaondolewa: re 264
kasisi na wakili wapatikana na hatia ya kuwaharibia Mashahidi sifa (1997): w98 8/15 31
watu walioambukizwa ugonjwa walipotiwa damu yenye viini walipwa ridhaa: g99 9/8 28
Japani:
mahakama kuu yaamua kwamba ni kinyume cha sheria kumtia mtu damu bila kibali chake (2000): g00 9/22 28
Mahakama Kuu yaamua Shahidi alipwe fidia kwa sababu ya kutiwa damu kwa nguvu (1998): w98 12/1 22; w98 12/15 26-29; g98 8/22 11
msimamo wa wanafunzi wa kutoshiriki katika somo la mbinu za kujihami watetewa (1994, 1996): g00 4/22 24; w98 12/1 22; w96 11/1 19-21; g96 5/22 30; g96 9/8 28
Kanada:
amri ya kukataza huduma ya nyumba kwa nyumba yaondolewa (2001, 2003): g04 7/8 24-25
Jumba la Kusanyiko (Surrey, British Columbia): jv 331
kesi ya Donald v. Hamilton Board of Education: jv 688
mahakama yaamua kwamba ziara za Mashahidi ni huduma ya jamii (2001): w03 12/1 30-31
Quebec: g00 4/22 20-21; jv 498, 680-682, 690
shirika la Msalaba Mwekundu lilipatikana na hatia katika kesi ya watu wawili walioambukizwa UKIMWI kwa kutiwa damu: g98 9/22 31
uhaini (1950, kesi ya Aimé Boucher v. His Majesty The King): w00 2/1 25; g00 4/22 21-22; jv 689-690
usambazaji wa vitabu (1953, kesi ya Laurier Saumur v. The City of Quebec): w00 2/1 25; g00 4/22 22; jv 690
Kazakhstan:
Mashahidi washinda kesi za mahakamani (2008): yb10 20
Kongo (Zaire), Jamhuri ya Kidemokrasia ya:
marufuku juu ya Mashahidi si halali (1993): yb04 236-237
Korea (Kusini), Jamhuri ya:
Kamati ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yatetea msimamo wa Mashahidi wa kukataa kujiunga na jeshi (2006): yb09 23; yb08 17-18
mahakama haitambui haki ya kukataa kujiunga na jeshi (2002, 2004): yb12 36-37; yb05 15
Mashahidi waliohukumiwa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi wakata rufaa: yb08 17-18
Kosta Rika:
sheria kuhusu mikanda ya viti vya magari yafutwa: g98 7/8 29
Mahakama Kuu ya Marekani:
idadi ya kesi zinazowahusu Mashahidi: w01 6/1 19; jv 499, 679, 687-688, 699
kazi ya kuhubiri ya Mashahidi si ya kuchochea uasi (1943, kesi ya Taylor v. State of Mississippi): re 92; jv 688
kuhubiri nyumba kwa nyumba (2002, kesi ya Watchtower v. Village of Stratton): yb05 15-16; yb04 17; g03 1/8 3-11; g03 9/8 30
kusalimu bendera (1940, kesi ya Minersville School District v. Gobitis): jv 669-670, 684-685, 687
kusalimu bendera (1943, kesi ya West Virginia State Board of Education v. Barnette): re 92; jv 197, 686-688
manufaa ya kesi zilizowahusu Mashahidi: jv 699
Marekani ni taifa la Kikristo: jv 684
miji inayomilikiwa na kampuni (1946, kesi ya Marsh v. Alabama): g98 4/22 23-24
sheria za majimbo na manispaa zinapaswa kupatana na Marekebisho ya Kwanza (1940, kesi ya Cantwell v. Connecticut): g03 1/8 5; jv 684
si kinyume cha sheria kwenda nyumba kwa nyumba (1943, kesi ya Martin v. City of Struthers): re 92
usambazaji wa vitabu (1938, kesi ya Lovell v. City of Griffin): bt 200; jv 684
usambazaji wa vitabu (1942, kesi ya Jones v. City of Opelika): jv 685-687
usambazaji wa vitabu (1943, kesi ya Murdock v. Commonwealth of Pennsylvania): re 92; w04 3/15 12; g03 1/8 9-10; w98 12/1 20; jv 349, 687-688
Makedonia:
mahakama kuu yaruhusu vitabu vya Mashahidi viingizwe nchini bila vizuizi: yb09 220
Marekani:
haki ya kuwalea watoto: g97 12/8 6-7
kutia damu mishipani: yb05 16; g98 8/22 11; w97 8/1 32
maagizo ya mahakama ya kuzuia kazi ya kuhubiri: jv 683-687, 697-698
Mashahidi washinda kesi kuhusu Stanley Theater, New Jersey: jv 331-332
ni kinyume cha sheria kufundisha shuleni kwamba vitu vilibuniwa kwa akili (Pennsylvania): g 9/06 30
Rutherford na wawakilishi wengine wa Shirika la Watch Tower (1918/1919): w08 9/15 8; re 39-40, 167-169; w00 10/1 26-27; jv 69-70, 650-654
ushahidi wa mtu aliyefanyiwa kiinimacho haukubaliki: rs 150
Milki ya Roma:
mawe madogo yalitumiwa kutoa hukumu: re 46
Moldova:
Mashahidi washinda kesi za mahakamani: yb10 19-20
Muungano wa Nchi Nne za Afrika ya Kati Zilizotawaliwa na Ufaransa:
Mashahidi si Wakomunisti: yb04 145
Peru:
mahakama yaamua kwamba si lazima Mashahidi walipe kodi ya vitabu vinavyoingizwa nchini (2003): yb05 14
Poland:
wakati wa marufuku (1950-1989): w05 8/1 19
Puerto Riko:
kutiwa damu mishipani: yb11 26; w02 4/1 27; w96 1/15 30
Mashahidi wakatazwa wasiingie mitaani (2004): yb05 15
Rumania:
kesi za mahakamani zilizowahusu Mashahidi (1933-1939): bt 186; yb04 86-87; jv 679-680
mahakama ya rufaa yatetea uandikishaji wa dini ya Mashahidi (2003): yb05 15
Singapore:
Mashahidi wahukumiwa kwa sababu ya kuhudhuria mikutano na kuwa na vitabu (1995-1996): g00 4/22 24
Mashahidi wahukumiwa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi: g97 6/8 23-25
Mashahidi wapinga marufuku ya 1972 (1994): g97 6/8 23
Swaziland:
msimamo wa Mashahidi kuhusu desturi za maombolezo: yb07 171; w98 7/15 22
Ufaransa:
aliyekuwa bunge wa Ufaransa apatikana na hatia ya kuwaharibia Mashahidi jina (2007): yb08 15-16
haki ya kuwalea watoto: yb05 10-11; g04 11/22 12; g98 11/22 20
maofisa wa jiji la Lyon waamriwa wawakodishie Mashahidi jumba la manispaa kwa ajili ya Ukumbusho (2007): yb08 15
Mashahidi waruhusiwa kuona hati za polisi zilizotumiwa kuwatambulisha kuwa madhehebu (2005): g 7/06 29
suala la kuwatoza Mashahidi kodi (1998- ): w12 8/15 17; yb12 39-40; w11 8/15 20; yb10 24; yb09 27; yb08 16; yb07 24; yb06 15
Wanabetheli hawahitaji kulipa ushuru (2007): yb08 15
Uganda:
Mahakama Kuu yaamua kwamba Wanabetheli si wafanyakazi wa kuajiriwa (2009): yb10 17
Ugiriki:
Baraza la Serikali latetea haki ya Mashahidi ya kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri (2008, 2010): yb11 24-25; yb09 22-23
kesi kuwahusu Mashahidi: jv 680, 695
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yamtetea Shahidi Mgiriki (1993): bt 200; w98 12/1 20-21; g96 3/8 21
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yawatetea Mashahidi Wagiriki (1996): g97 3/22 14-16
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yawatetea Mashahidi Wagiriki (1997): g98 1/8 19-23
Mashahidi washinda kesi za mahakamani kuhusu haki ya kuhubiri (1995): w97 2/1 32
Uholanzi:
Mahakama Yenye Kudumu ya Mapatano: dp 259
shtaka la kwamba vitabu vya Mashahidi vyawadhihaki makasisi lafutwa (1939): jv 682
Ujerumani (Iliyounganika):
aliyekuwa hakimu amwomba Shahidi msamaha: w96 7/1 32
kusambaza picha chafu za watoto kwenye Intaneti ni tendo la uhalifu: g02 2/22 29
Mashahidi washinda kesi ya kuandikishwa kisheria kama shirika la umma (1997-2001, 2004-2006): yb07 24; yb06 13, 15; g 8/06 19; yb05 11, 14; w01 8/15 8
takwa la kuwa na msalaba darasani lafutiliwa mbali: g96 3/22 29
ukahaba si jambo ovu: g01 8/8 28
Urusi:
jitihada za kuwapiga Mashahidi marufuku huko Moscow (1995-2004): w11 7/15 4-7; yb09 27; yb08 251, 255; yb06 15-16; yb05 4, 16-17; yb04 19; g01 4/22 14-15; g01 8/22 29; g01 12/22 15-16
mahakama yashutumu gazeti lililowaharibia Mashahidi jina (1998): w98 12/1 17-18; g98 11/22 26-27
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaamua kwamba marufuku juu ya Mashahidi huko Moscow si halali (2010): w12 12/15 22; yb12 40-41; w11 7/15 8-9; w11 8/15 20; yb11 27-29; yb08 255
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yaombwa ichunguze visa vya Mashahidi kupelekwa mahakamani tena na tena (2001): yb09 27-28
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yawatetea Mashahidi kuhusu kuvurugwa kwa mkutano (2004, 2007): yb08 250; w07 5/15 31; yb06 16
Mashahidi wadaiwa kuwa wenye msimamo mkali wa kidini (2009-2010): w12 10/15 32; yb12 41; w11 5/1 18-19; yb11 26-27
Mashahidi wa Yehova wakata rufaa kuhusiana na kesi 13 kwenye Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu dhidi ya Urusi (2011): yb12 43
Ukumbusho wavurugwa huko Moscow (2006): yb08 250; yb07 27, 30
Uturuki:
Mahakama ya Amani ya Sisli ya Istanbul yatetea haki ya Mashahidi ya kusambaza vitabu (2006): yb08 22
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu yakubali kusikiliza kesi kuhusu haki za Mashahidi (2009): yb10 23
msimamo wa Mashahidi kuhusu kujiandikisha jeshini: yb07 26
rufani ya Mashahidi kuhusu matumizi ya Jumba la Ufalme lililofungwa yakataliwa (2009): yb11 30-31
Uzbekistan:
hukumu juu ya Shahidi yabatilishwa (2003): yb04 20
Mashahidi wahukumiwa kwa sababu ya kufundisha mambo ya dini (2007): yb08 16