MAAMUZI YA MAHAKAMA KUU
(Ona pia Mahakama)
Armenia
mahakama yaamua kwamba mzee wa kutaniko hana hatia (2002): w03 4/1 11-14
Australia
marufuku juu ya Mashahidi yaondolewa (1943): re 92
El Salvador
mahakama kuu yakataa takwa la kutoa damu kabla ya kutibiwa (1998): g99 5/22 29
Filipino
kusalimu bendera na kuimba wimbo wa taifa si takwa (1993): w98 12/1 22
kusalimu bendera si takwa (1959): jv 671
Georgia
uandikishaji wa Mashahidi wafutwa (2001): g02 1/22 22-23
India
si lazima watoto waimbe wimbo wa taifa (1986): re 43
Jamhuri ya Altay
Mashahidi wadaiwa kuwa wenye msimamo mkali wa kidini (2010): w11 5/1 18-19; yb11 26-27
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (Zaire)
marufuku juu ya Mashahidi si halali (1993): yb04 236-237
Japani
kumtia mtu damu bila kibali chake ni kinyume cha haki za mgonjwa (2000): g00 9/22 28
msimamo wa mwanafunzi Shahidi wa kutoshiriki katika somo la mbinu za kujihami watetewa (1996): g00 4/22 24; w98 12/1 22; w96 11/1 19-21; g96 9/8 28
Kanada
haki ya kusambaza picha au habari chafu (ponografia) yatetewa na Mwafaka wa Haki na Uhuru (1992): g96 7/22 8
Mashahidi si wahaini:
kesi ya Aimé Boucher v. His Majesty The King (1950): w00 2/1 25; g00 4/22 21-22; jv 689-690
usambazaji wa vitabu:
kesi ya Laurier Saumur v. The City of Quebec (1953): w00 2/1 25; g00 4/22 22; jv 690
Makedonia
Mashahidi wanaweza kuingiza vitabu nchini bila vizuizi: yb09 220
Marekani
idadi ya kesi zilizowahusu Mashahidi: w01 6/1 19; jv 499, 679, 687-688, 699
kuhubiri nyumba kwa nyumba:
kesi ya Watchtower v. Village of Stratton (2002): yb05 15-16; yb04 17; g03 1/8 3-11; g03 9/8 30
kusalimu bendera: jv 684-688
kesi ya Minersville School District v. Gobitis (1940): jv 669-670, 684-685, 687
kesi ya West Virginia State Board of Education v. Barnette (1943): re 92; jv 197, 686-688
Marekani ni taifa la Kikristo: jv 684
miji inayomilikiwa na kampuni:
kesi ya Marsh v. Alabama (1946): g98 4/22 23-24
sheria za majimbo na manispaa zinapaswa kupatana na Marekebisho ya Kwanza:
kesi ya Cantwell v. Connecticut (1940): g03 1/8 5; jv 684
uhaini:
kesi ya Taylor v. Mississippi (1943): re 92; jv 688
usambazaji wa vitabu:
kesi ya Jones v. City of Opelika (1942): jv 685-687
kesi ya Lovell v. City of Griffin (1938): bt 200; jv 684
kesi ya Martin v. City of Struthers (1943): re 92
kesi ya Murdock v. Commonwealth of Pennsylvania (1943): re 92; w04 3/15 12; g03 1/8 9-10; w98 12/1 20; jv 349, 687-688
Norway
haki ya Mashahidi ya kuhubiri barabarani (1950): yb12 136-137, 163
Puerto Riko
haki ya kukataa damu (2010): yb11 26
Ugiriki
Kamati ya Nchi inatetea haki ya Mashahidi ya kukataa kujiunga na jeshi (2008, 2010): yb11 24-25; yb09 22-23
Urusi
Mashahidi wadaiwa kuwa wenye msimamo mkali wa kidini (2009): w12 10/15 32; yb12 41; w11 5/1 18-19; yb11 26
Uturuki
rufani ya Mashahidi kuhusu matumizi ya Jumba la Ufalme lililofungwa yakataliwa (2009): yb11 30-31