UHAI
(Ona pia Biolojia; Kutoweza Kufa; Maisha/Kuishi; Nafsi [Fundisho la Kutokufa kwa Nafsi]; Nguvu za Uhai; Uzima)
(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)
chanzo: lf 4-7; la 16; ct 28-44
chanzo cha uhai: bh 125; rs 328
kama inawezekana kwamba uhai ulianza wenyewe: ct 41, 43
maelezo ya mtaalamu wa elimu ya nyota Fred Hoyle: w99 6/15 17; ct 41; g97 5/8 13
majaribio ya Pasteur: ct 32; g96 12/8 24, 26-27
nadharia ya kwamba uhai ulikuja duniani kutoka sayari nyingine: ct 48
nadharia ya kwamba uhai ulikuja duniani kutoka sayari ya Mihiri: g99 11/22 15
nadharia ya mageuzi: w11 1/1 6; lf 4-12, 22-23; g 11/10 5, 9
nadharia ya mageuzi ya kikemikali: g 11/11 7-9; lf 4-6; g02 3/22 26-27
ulimwengu unawafaa viumbe hai: g00 10/8 3-4; ct 13-14, 20
wanasayansi hawajafaulu kuumba uhai: rs 161
wanasayansi wanaotetea uumbaji: rs 163-164
wanasayansi wasioamini kwamba uhai ulianza wenyewe: lf 4-6, 12; g 11/10 5; w08 1/1 16; g 9/06 11-12; w05 2/1 6; la 16; ct 43
kupenda uhai: w99 8/15 3-7
kusudi la uhai: w08 12/1 31; g 12/08 3-6
kuthamini zawadi ya uhai: w11 11/1 17; lv 74-85; bh 125-133; od 196-197; w04 6/15 14-15; g03 6/8 5-6; g02 8/22 8; w97 1/15 21-22; rq 24-25
damu inawakilisha uhai: lv 74-77; bh 128-133; w04 6/15 14-19; w97 1/15 21; rq 25
kuzingatia usalama: w10 4/15 29-30; lv 79-80; bh 128
michezo hatari: yp2 264-265; w07 2/15 29; w97 1/15 21; rq 24
uhai wa mtoto ambaye hajazaliwa bado: lv 80-82; bh 127; jv 183
uhai wa mtu mwenyewe: bh 127-128
uhai wa wanyama: lv 78; bh 128
‘kuzihesabu siku kwa moyo wa hekima’ (Zb 90:12): w06 7/15 13; w05 5/1 32
maelezo: rs 327-332
maisha ya mnyama yanalinganishwa na ya mwanadamu ili kuonyesha tofauti: w97 2/15 10-12
mambo yaliyo halisi: g 12/12 9
maneno ya Kigiriki: w07 8/1 24
maoni kuhusu uhai katika sayari nyingine: rs 332
jitihada za kutafuta viumbe wenye akili: g03 6/8 16-17; g00 8/8 28; g96 12/8 29
jitihada za kuwasiliana na viumbe wenye akili: g02 11/22 28-29
mtu kukosa kuheshimu uhai wake mwenyewe: rs 48, 51-52
mwongozo katika maisha: w12 6/15 30-31
“mzunguko wa uhai wa asili” (Yak 3:6): w97 11/15 16-17
neno nafsi linaweza kumaanisha uhai: w07 7/15 4-5; w99 4/1 15
thamani ya uhai wa mwanadamu: w05 2/1 3-7
maelezo ya mtu aliyeokoka mauaji shuleni (2007): w08 9/1 30
uchunguzi kuhusu kubadilisha mwaka mmoja na pesa (Ujerumani): g 12/11 28
uhai unaonwa kuwa usio na maana: w05 2/1 3; g00 7/8 3-4
ufafanuzi: rs 327-328
uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu: bh 125
uhai uanaotegemezwa na mashine: w12 12/15 15-16
uhai wa mwanadamu unapoanza: g 6/09 5-6
utakatifu wa uhai: g00 10/8 19
wafu ‘watakuwa hai’ (Ufu 20:5): re 290; rs 325-326
“wakawa hai na kutawala” (Ufu 20:4): re 289
Manukuu
chanzo cha uhai kingali kinajadiliwa: w99 6/15 14
haiwezekani kabisa kwamba kitu kisicho na uhai pamoja na nishati zilijipanga zenyewe kwa utaratibu na kuwa hai bila kusaidiwa kwa njia yoyote: ct 38
hali ya binadamu ya kutafuta maana ni nguvu ya msingi: w99 6/15 15
tatizo la chanzo cha uhai limekuwa gumu sana kuliko jinsi watu walivyowazia: ct 38
uhai ulianzishwa kwa tendo lililopangwa na mtu mwenye akili: w99 6/15 17; ct 41