-
Mathayo 2:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Nao walipoingia ndani ya ile nyumba wakamwona huyo mtoto mchanga pamoja na Maria mama yake, wakaanguka chini na kumsujudia mtoto. Pia wakafungua hazina zao na kumtolea zawadi, dhahabu na ubani na manemane.
-