Kutoka 3:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na kila mwanamke atamwomba jirani yake na mwanamke mgeni aliye katika nyumba yake, vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda, nanyi mtawatwika wana wenu na binti zenu; nanyi mtawaacha Wamisri bila chochote.”+ Kutoka 12:35 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 35 Na wana wa Israeli wakafanya kulingana na neno la Musa, wakawaomba Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda.+ Zaburi 105:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Naye akaanza kuwatoa nje wakiwa na fedha na dhahabu;+Na katikati ya makabila yake hapakuwa na yeyote mwenye kujikwaa. Methali 13:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Mtu mwema atawaachia urithi wana wa wanawe, na mali ya mtenda-dhambi huwekwa akiba kwa ajili ya mwadilifu.+
22 Na kila mwanamke atamwomba jirani yake na mwanamke mgeni aliye katika nyumba yake, vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda, nanyi mtawatwika wana wenu na binti zenu; nanyi mtawaacha Wamisri bila chochote.”+
35 Na wana wa Israeli wakafanya kulingana na neno la Musa, wakawaomba Wamisri vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na nguo za kujitanda.+
37 Naye akaanza kuwatoa nje wakiwa na fedha na dhahabu;+Na katikati ya makabila yake hapakuwa na yeyote mwenye kujikwaa.
22 Mtu mwema atawaachia urithi wana wa wanawe, na mali ya mtenda-dhambi huwekwa akiba kwa ajili ya mwadilifu.+