Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 9:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kisha akachinja toleo la kuteketezwa nao wana wa Haruni wakampa damu naye akainyunyiza juu ya madhabahu kuizunguka pande zote.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 29:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kwa hiyo wakawachinja+ wale ng’ombe na makuhani wakapokea damu+ na kuinyunyiza+ juu ya madhabahu; kisha wakawachinja wale kondoo-dume+ na kuinyunyiza damu+ juu ya madhabahu, nao wakawachinja wana-kondoo na kuinyunyiza damu juu ya madhabahu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki