-
Kutoka 12:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 “‘Na siku hii itakuwa ukumbusho kwenu, nanyi mtaisherehekea ikiwa sherehe kwa Yehova katika vizazi vyenu vyote. Nanyi mtaisherehekea kama sheria mpaka wakati usio na kipimo.
-